Ushamchomea mtu tayari [emoji1787][emoji1787]Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
Mkuu, Kwan picha hizo za Marais huwa zinapatikana wapi?Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
Ukiona hivyo hao ndiyo wanampiga vita mama Samia.Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
Ungepata nafasi ukaipiga picha alafu ukaitupia na hiyo wilaya ili apoteze kibarua mara moja huyo ili naye akawe mteja wa wauza mchicha na maharage.Dakika hii naiangalia hapa kwa huyu mkuu wa wilaya asiejielewa
Ujinga wa yule kijana sijawahi ona duniani ,sijui sababu ameua sana watu? saizi anahatarisha maisha yake eti amehamia Arusha na anazururaNakumbuka kuna kipindi Makonda alitoa agizo kwa kila ofisi kuhakikisha wanaweka picha ya magufuuli.
Wanajua ziko wapi ...idara habari maelezo ndio jukumu lao kuuza hizo pichaMkuu, Kwan picha hizo za Marais huwa zinapatikana wapi?
kwa hiyo mkeo abaki na picha za ex wake ? Nani anamuogopa maku yuleSijui kwa nini mpaka sasa unamuogopa Magufuli kiasi hiki, picha tu ya ngosha inazuiaje utendaji kazi wa mama!
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
Huko alikoamua kwenda ndiyo hawanaga masihara akiwaletea umbwiga wanamshughulikiaUjinga wa yule kijana sijawahi ona duniani ,sijui sababu ameua sana watu? saizi anahatarisha maisha yake eti amehamia Arusha na anazurura
Mkuu ungekuwa muadilifu ka vitu na mda kiasi hiki niakushauri uwe wa kwanza- tudisha mashmaba yote aya urithiJana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
Mbona unatukana sasa, hofu yako nini hasa!kwa hiyo mkeo abaki na picha za ex wake ? Nani anamuogopa maku yule
We kijana uwe na adabu! hata kama alikosea(kwa mtazamo wako) bado haikupasa kumporomoshea tusi.Yule ni sawa na baba/babu yako.Hakuna binadamu hakosei mkuukwa hiyo mkeo abaki na picha za ex wake ? Nani anamuogopa maku yule
kwa hiyo mkeo abaki na picha za ex wake ? Nani anamuogopa maku yuleSijui kwa nini mpaka sasa unamuogopa Magufuli kiasi hiki, picha tu ya ngosha inazuiaje utendaji kazi wa mama!
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kwa lugha ulotumia utakuwa mtu mwenye heshima zako ,Mtu akifa mabaya ni ya mungu wake ,mazuri ni yetu wanadamu wenzie ,tatizo huyu nina ishu nae binafsi leo ningekuwa sitype hapa angeishi hata mwezi n,na nakusihi usishiriki dhambi isiyokuhusu huyu kuna watu sio mashoga wamelawitiwaa kipindi chake kwa amri yake ,Arushs wamenyanganywa hela matajiri si chini ya 30 (siongelei kodi ni unaambiwa leta cash bil 2 na hakuna risiti au unaletewa bil na tialaei ya bil 4 na uhujumu uchumi juuWe kijana uwe na adabu! hata kama alikosea(kwa mtazamo wako) bado haikupasa kumporomoshea tusi.Yule ni sawa na baba/babu yako.Hakuna binadamu hakosei mkuu
Daaah! vita vilikuwa vya wewe na yeye,amekufa mshindani wako yanini kupambana na mfu,amka jitibu majeraha mambo yaendekwa hiyo mkeo abaki na picha za ex wake ? Nani anamuogopa maku yule
Kwa lugha ulotumia utakuwa mtu mwenye heshima zako ,Mtu akifa mabaya ni ya mungu wake ,mazuri ni yetu wanadamu wenzie ,tatizo huyu nina ishu nae binafsi leo ningekuwa sitype hapa angeishi hata mwezi n,na nakusihi usishiriki dhambi isiyokuhusu huyu kuna watu sio mashoga wamelawitiwaa kipindi chake kwa amri yake ,Arushs wamenyanganywa hela matajiri si chini ya 30 (siongelei kodi ni unaambiwa leta cash bil 2 na hakuna risiti au unaletewa bil na tialaei ya bil 4 na uhujumu uchumi juu