Picha za Hayati Magufuli zitolewe maofisini

Ni vizuri umewakumbusha. Sasa wako bize wanajipongeza kwa kuikamata Serikali.
 
Zitolewe, zimwagiwe tindikali....

Zikiachwa tunazidi kupata majonzi kwa kumkumbuka shujaa wetu.
 
huyo DC ashugulikiwe haraka itakua ndo wale wazee wa legasi. bado hii mijamaa imejisaau inataka kuendeleza mambo ya mwendazake
 
Zitolewe, zimwagiwe tindikali....

Zikiachwa tunazidi kupata majonzi kwa kumkumbuka shujaa wetu.
Ukizidiwa na majonzi na kama kweli bado wampenda, si uamue tu kuunga mkono juhudi kumfuata huko aliko.
Sumu ya panya yatosha ndugu.
 
Ukizidiwa na majonzi na kama kweli bado wampenda, si uamue tu kuunga mkono juhudi kumfuata huko aliko.
Sumu ya panya yatosha ndugu.
Sumu ya panya haifai, labda nife kishujaa kwa kujilipua pale uwanja wa chato
 
Yote haya ni uzandiki mkubwa sana, kuna ofisi niliwahi pita mwezi februari nikakutana na picha ya JK, sikushangaa wala sikutaka kuanzisha thread kwanza ili iweje?.

Ila kwa late JPM imekuwa nongwa kweli kweli, dunia hadaa, ulim ....!.
 
Bado kuna wanaomuenzi "uchwara" huyo????!!!!
 
Je picha za rais zina kazi gani? Si afadhali kuziacha kabisa?
 
Sawa ila huku mtaani tunauza T-shirt 👕 zenye picha yake unapatikana wapi nikuletee bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…