Raheli aliyependwa na Yakobo ikabidi Yakobo atumikie miaka kumi na nne kumpata.
Raheli aliiba vinyago vya baba yake, nahisi hiyo nayo ilichangia laana ya kumfanya afie njiani.
Hilo kaburi ni kumbukuzi nzuri, wasiwasi wangu ni kuwa huyu Raheli alifariki miaka mingi sana iliyopita, sijui kama hapo mahali ni hapo hapo alizikwa, let me believe