Elections 2010 Picha za Kikwete zakaliwa na wana CCM kama jamvi!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi (12/10/2010) kuna picha kubwa ikimwonyesha Chipukizi: katika kampeni kuna mashabiki/ wanachama wa CCM wengi wao ni akina dada wametandika chini kwenye ardhi picha za mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete na kuzikalia!

Hivi hawa ni wanachama kweli wa CCM au wamepewa tu ajira ya muda?

Naomba mwenye hii picha atuwekee hapa, tafadhari.
 
.... shauri zao.... hazina mvuto... hata wao wamechoka.... labda stimu.... wanaonekana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…