Picha za mapozi enzi hizo

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470

Wadau Enzi hizo lazima ilikuwa ubuni style ya pekee huku umeperizia perfume
 
Najua wadau mtakuwa mmekoshwa na mapozi ya enzi zetu zile, picha unapigia studio.
 
Mmh ngoja kwanza mpwa
 
Nakumbuka nilienda Uchagani enzi hizo ......ilibidi niweke ulinzi ndala zangu

 
mmmh huyo mwenye suti ya njano mbona kifungo cha mwisho cha koti hakipo?
 
Enzi hiiizoooo ilikuwa kaazi kweli kweli.

Lakini wamependeza bana. Siku hizi watu wanavaa suruali chini ya ma----.lol
 
Hahahahaha kuna zile suruali zilikuwa zinabana juu alafu chini zinakuwa pana zilikuwa zinaitwa pekusi alafu unapiga na Laizoni dah mtu anaweka na wevi kiana wale walio kuwa wakifuga hafro.
 
Hahahaaa! Wakati huo ukinikuta na kaunda yangu na safari boots, tulikuwa
Tunaziita mbwa. Acha kabisa!
 
Hawa kama wazaire vile. Naona picha nyingine kama wanacheza nzawisa vile.
 
Najua wadau mtakuwa mmekoshwa na mapozi ya enzi zetu zile, picha unapigia studio.

LOL!, LOL!

Jamani mi pozi la mwenye red and white limenikuna, can't stop laughing, ndo anataka kuonyesha vifaa kwa dunia au??!!!....
Na huyo wa kwanza hapo juu ni kwamba kabanwa au....

Hawa ndo wakina P Diddy wa enzi hizo

Trust me hizi pose ukirudisha saa hizi, zitakuwa bomba!...lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…