Picha Za MATILDA HIPSY, Model Wa Ghana Anayedai Kuwa Na Makalio/Hips Makubwa Afrika Nzima

Kwa duniani hapana yupo yule anaeishi Marekani ndie ana hips kubwaaa balaaa
 
kawaida sna kuna wabongo nawafahamu wana makubwa zaidi ya huyo, anaongea utafikiri katemea Africa nzima
 
...
...Hamkuti marehemu NASMA KHAMIS Kidogo...Mungu amrehemu....kitu kibuyu...
 
Kuna bint moja alikua katika video ya"Nimekubali wee ni kifaa"Mez B fr Temba alikua hatari
 
Hongera kama kweli lakini si unajua hichi kizazi cha digitali hadi tuone picha ndy tunaamini?..

Hebu pm hizo picha hata peke yangu tu nione kitu ulichothiri kwa mama sasa mama si ndy atakuwa balaa!..

Hutaki kuamini basi. Nimerithi kutoka kwa my mama. Hatareeee we amini hivyo, namshukuru Mungu wengine wanatafuta michina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…