KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
-
- #21
Kweli kabisa mkuu. Umasikini wetu unatokana na kuongozwa na akili ndogo ya CCM.Ziwa lote hilo halafu tunasikia wakazi wanaolizunguka hawana maji ya kutosha na ni masikini.
Hakika umasikini wetu ni wa akili.
[emoji3][emoji3]Kweli kabisa mkuu. Umasikini wetu unatokana na kuongozwa na akili ndogo ya CCM.