Wkend iko poa
Hizo una zi destroy kimya kimya coz kuzirudisha nayo rude, kwanza mimi sikuwa na utaratibu wa ku keep picha maana walikuwa wakiziacha wakija wanakuta hazipo pale walipoziweka mwisho wanazibeba.
Wana jF..
Naamini weekend inakwenda vizuri..
Kama tunavyofahamu fika binadamu tumeumbwa na wivu, hisia za kutojiamini nyakati zingine, wasiwasi wa mapenzi, hasa iwapo accidentaly au purposely ukakutana na picha za mpenzi wa zamani wa mwenzi ulienae hivi sasa..
Mi nina swali ningependa kuwauliza, hivi picha za wapenzi wenu wa zamani huwa mnazitunza baada ya kutengana? Mnazichoma moto? mnawarudishia? Au mnazihifadhi kwa njia gani ili isije kuleta mfarakano na mpenzi mpya? Na kama ukakutana nazo utachukua hatua gani?
nina picha za graduation npo na kampenz kangu ka zaman n nying kwel tuliachana nimeoa mwingne sasa tatizo nikidestroy ni ukumbusho wng kwn sina mpango wa kuongeza kadigirii kengne nikiacha namkwaza mke imebid niwe kauzu tu niweke kwnye album yake special.
mpenzi wa kwanza zilitunzwa na kufichwa pazuri na mahala safe.
mpenzi wa pili zilipakiwa kwenye kibox pamoja na vi kadi, tedy bear, artificial flowers vikatumwa kwake.
mpenzi wa tatu na kuendelea hata picha naona hakuna haja ya kuombana zinakuwepo tu zile tulizopiga pamoja.
ila hizo picha ukiziangalia unapata ukumbusho wa graduation pekee.....au na mengineyo???
Bora kuzichana au kuchoma, unaweza ukawa unaumia moyo unapoziangalia hasa iwapo atakuwa na mazuri mengi kuzidi uliyenaye.
Juzi nilitaka kuzituma kwa mpenzi wa zamani wife akashauri si vizuri hivyo nimeziweka tu kwani yeye nilimpa akachome moto anaona huruma.......
hivyo naendelea kuziangalia.....
Ila nimeona yake na mpenzi wa zamani nataka kuiba na kuichoma moto maana roho inauma
Tena umenikumbusha ngoja nikaicheki sasa hizi kabla wife hajarudi kutoka kwenye mizunguko yakeduuh nakuelewa ndugu yangu inataka moyo kweli maana unaanza ku imagine mambo mengi ukiona picha ya mtu mwenyewe halisi bora kutomjua kabisa....