Picha za mpenzi (au wapenzi) wako wa zamani..

kama mliachana vizuri unaweza kuzitunza lakini kama mliachana kwa machungu yani siku hyo unazichapa hzo picha viboko hafu unamchoma moto aungue.
 
Duh,kuwa na mpenzi JF tatizo kweli.
Hapa nashindwa kutoa opinion yangu maana hakuta kalika hapa.
Ngoja nifikirie kuchange ID

hahaha hilo nalo neno... Asije kununa bure.. Na tunavyojua kununa sisi...
 
kama mliachana vizuri unaweza kuzitunza lakini kama mliachana kwa machungu yani siku hyo unazichapa hzo picha viboko hafu unamchoma moto aungue.

au unatumia picha kibao unamwambia chagua yako zilizobaki rudisha... Kwamba ushamsahau.. Atajuta!
 
Mhh,kupigwa???tena na demu wako????
Kule kwetu musoma ng'ombe wako 40 wanarudishwa.
 
Alafu wanawake wa kule kwetu wako poa sana,wao usipo wapiga tuu wanajua huwapendi,so watafanya kila njia ili upandwe na hasira then utoe mkong'oto.
Unajua wavyoanza kukuchokoza?ni mp nikuelezeeni,then wekeni mbavu zenu tayari tayari!
 
Mimi zilipotezwa kabisa... Ghafla tu niliona picha fulani zinamiss! Na ni zile nikiwa na akina dada,baadhi lovers,na baaadhi siyo...

Kwa wivu tu zikapotezwa...

wivu muhimu...
 
Zipo zooote, from the begging of my love life,plus cards and letters. Zipo ktk briefcase ya documents zangu nyumbani kwetu.
But ni mara chache sana kuziangalia, tena hadi nikiwa kwetu na nikihtaji doc flani ndan ya briefcase ndo ktk kupekua pekua ndo narivise.
Ni memories ambazo hazitarudi tena, but its funny sometimes unapoangalia na kukumbuka. Huwa najichekea mwenyewe nikiziangalia na nikisoma cards na barua.
 

Amyner

For me personally because these people have been part of my life, at some point I never destroy any of their photos. Funny enough I'm friends with most of my exes. As for seeing pic za ex wa mwenzangu, I actually could careless! Thankfully mimi si wale wanawake, wachunguzi au wapekuzi yaani if one is to cheat on me,unfortunately it will take ages before ning'amue. My philosophy kwenye relationship has always been if you think there is something or someone out there that's better, then just go so siendekezi wivu kihivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…