Picha za mshiriki wa BBA SEASON 9 Idris Sultan utampenda tu, very charming boy

hivi ZEKeke huyu jamaa kamaliza six mwaka gani? maana namfananisha na jamaa moja hivi tulikuwa jkt.
 
Last edited by a moderator:
Charming ndo mdudu gani? Tusubir tuone acha mbwe mbwe
 
hivi ZEKeke huyu jamaa kamaliza six mwaka gani? maana namfananisha na jamaa moja hivi tulikuwa jkt.
kamaliza 2013, kama ulikuwepo rwamkoma musoma basi ni yeye
 
hahahahahahahahahaha yule jamaa alikuwa f coy kama sikosei. shetani amsaidie ashinde bana( maana nikisema mungu ntakuwa nakosea kutokana na nature ya huo mchezo )
hahahaaaaa! vipi ulionaje personality yake? au mlikuwa combania tofauti sana
 
hahahaaaaa! vipi ulionaje personality yake? au mlikuwa combania tofauti sana

mi nilikuwa d-coy ila jamaa yupo fresh sana alikuwa rafki yangu wa kubadilishana mawazo kipindi cha uzalendo ila after timbwili kuanza sikupata nafasi ya kukaa nae tena. anaweza hyo kitu cause yupo very creative na anajiamin ile mbaya. we kama unamawasiliano nae mwambie baba mkapa wa rwamkoma anamsalimia sana.
 
huyu ni mbongo pure! mwenye tabia za kibongo kamili. akina mwisho, richard wote wana asili za nje bt jamaa ni tofauti kidogo....he is a pure bongo

ila mkuu unavyompa mapromo jamaa lazma utashare mtonyo wake kama akiupata. ni heshima yani. btw kila la kheri !
 
Kwa hizo picha nilizoziona hapo juu nna uhakika ameshalamba papuchi zao wote...lulu & wolper
 
nimefurahi sana mbezi high product.....kila la heri kwake.
 
Blah blah nini nini tusubiri aingie mjengoni tuta mjudge not now... hata Nando waz cool guy kila mtu alikuwa anamoenda na hakuwah kuwa nominated for many weeks baada ya kukaa kikaangoni akaanza fichua makucha yake.

Alafu BBA ukipenda showoff na sifa za kijinga kama Huddah, Elikem, Prezoo hushindi ng'oo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…