fanya uicheki. utamuelewa vizuriHapana sijaiona
have you check a video where he is being interviewd?
have you check a video where he is being interviewd?
haahaaaa! hao watoto wa ndugu yake......! hata hivyo lazima atakuwa na shemeji, mbon richard alikuwa na mzungu na bado alidate na tatianaKwenye photo naona na watoto ana shemeji nini?
Kama tayari maskini wee kashamkosa akienda huko coz nimeperuzi housemate wengine kuna wamanzi wakweeri.
Ah! Mi nkajua ni yule jamaa aloachwa juz kat pale 100.5 pande za kawe
hahaha hata mimi nilijua hivyo yaani nilishaanza kuona aibu ! heri si yeye lol !
kamaliza 2013, kama ulikuwepo rwamkoma musoma basi ni yeye
Kumbe ana marafiki wengi eeeeh!!maana kila mtu ni rafiki yake na wamesoma wote
Tutakuaminije?
yap brother, alikuwa headboy wetu paleKumbe jamaa kasomea kwa mgude??? Mbezi high
dah! Nimeimic mbezi mpaka basi kwa cc tuliomaliza 2009 o level mic sir nzota saana pamoja na msuyayap brother, alikuwa headboy wetu pale
huyu jamaa ni very charming, kwa tuliosoma nae tuna uhakika asilimia mia kuwa atashinda
have you check a video where he is being interviewd?