Picha za mwisho za Yevgeny Prigozhin Bangui CAR

Picha za mwisho za Yevgeny Prigozhin Bangui CAR

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi,

Hizi picha ndio za mwisho Boss wa Wagner kupigwa huko Bangui Central Africa Republic na baadaye siku chache kuuawa.

Cha kushangaza hao wamatumbi pembeni yake wanakenua mimeno tu huku jamaa akiwaibia rasilmali zao Kwa wingi dhahabu, magogo na almasi.
Screenshot_20230829-122844.jpg
Screenshot_20230829-122903.jpg
Screenshot_20230829-122913.jpg
 
"Cha kushangaza hao wamatumbi pembeni yake wanakenua mimeno tu huku jamaa akiwaibia rasilmali zao Kwa wingi dhahabu, magogo na almasi."

Africa bara langu...... Wazungu tunawaona wezi na wanyonyaji, Waarabu tunawaona wanyonyaji na wabinafsi.

Na wanaotuaminisha hivyo ni haohao wanaowapokea na kuwakaribisha.
 
Back
Top Bottom