Picha za ngono tcu.

GHANI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
722
Reaction score
301
Wakati nikitaka kuchunguza kama tcu wameshatoa selection kwenye tovuti yao nimekutana na picha na video za ngono, je ni kweli tcu hawana security ya kuweza kudhibiti website yao au ni uzembe wa serikali.
 
Wakati nikitaka kuchunguza kama tcu wameshatoa selection kwenye tovuti yao nimekutana na picha na video za ngono, je ni kweli tcu hawana security ya kuweza kudhibiti website yao au ni uzembe wa serikali Ya JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Si haki kumlaumu huyo Kikwete kwa ishu ya kipumbavu hiyo.
 
mbona una fikra fupi kama vichaa wa milembe, sijamlaume rais bali nimelaumu serikali yake acha uvivu wa kufikiri au gamba nini wewe?
Bado haibadilishi mantiki yako.
 
hivi kumbe TCU ni ya Jakaya na wenzake enhh
 
Kaaazi kwelikweli mwanzo ilikua hacked leo ngono, TUTAFIKA KWELI??
 
mbona una fikra fupi kama vichaa wa milembe, sijamlaume rais bali nimelaumu serikali yake acha uvivu wa kufikiri au gamba nini wewe?

Looks huna ustaarabu. Lugha ya shetani ya nini na mwenzako ameuliza gently! you are missing something, what ? God knows!!
 
sasa na hili alaumiwe Rais?


The buck stops with the person who appoints the leaders of these institutions!! He appoints mediocre people who also recruit mediocre assistants and hence the mediocre performance!!
 
Huo ni upuuzi unaofanywa na vijana wa chadema kila kukicha kumuhusisha raisi na mambo ya hajabu hajabu siku hizi heshima hamna enzi za mwalimu watu wapuuzi kama hawa walikuwa wanafanywa kitu mbaya ambayo hawezi adisia kwa watu wengine!
 
Problem is with TCRA, a government agency, so mkuu wa kaya hawezi kukwepa lawama!!!!!!!!!!!
 
 
,,,tcu.go.tz!! mbona hamna mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…