ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Almanusura niuluze hilo swali sioni tofauti asee...Hivi mtumiaji wa hayo makitu kwa muda mrefu hata akiacha atakuwa kama alivyokuwa kabla ya kutumia??!!
Kwanini Anauhusudu utamaduni wa kihindi?
Kwanini asivae mavazi ya asili ya kitanzania?
Nilitaka niulize hili swali maana mi hata siyafahamMavazi ya asili ya Tanzania ndio yakoje ndugu?
Leta hizo mpyaIzi picha za zamani
Akiwa mama ntilie afu akapata sehem yenye wateja wengi atatoka sana...tatzo alishakariri kuwa atatobolea kwenye musicTanzania bwana kwani msanii akipotea ni lazima arudishwe tena kwenye kuimba hata Kama alikuwa na matatizo kila kitu na wakati wake atafute kazi nyingine afanye
mtu hudanganywa na tamaa zake mwenyewe.alikuwa na kitovu kizuri sijui kwa nini walimdanganya