Picha za Ray C ndani ya muonekano mpya WA kihindi

Yule mkwere wa msoga alikuwa anamuonea huruma anamwita mpaka ikulu wanapata lunch na kupiga mapicha ya kuweka instagram.

Huyu msukuma wa chato atamtia segerea akawe mke wa askari magereza.
 
Kwanini Anauhusudu utamaduni wa kihindi?

Kwanini asivae mavazi ya asili ya kitanzania?
Bibe ndo kazinduka hivyo kwahyo anahitajika mtu aweze kumupdate hajui kuwa siku hizi ni bamba to bamba
 
Kwanini Anauhusudu utamaduni wa kihindi?

Kwanini asivae mavazi ya asili ya kitanzania?
Bro bora avae hvyohvyo tu maana yasijekuwa yaleyale ya akina amberlulu na gigy
 
Dah, yaani nikimkumbuka Ray C wa kwenye "Nimezama".

Black, jicho jicho, akikaa tu unaiangalia video unaielewa.

Sijazungumzia kiuno hapo.
 

Kila nikikumbuka jinsi alivyokuwa akifanyiwa Ufirauni na Wale Waarabu ndani ya Gari zao pale Fukwe za Coco Beach kwa tamaa yake ya Pesa na maisha mazuri na kujidhalilisha vile huwa natamani hata kulia kwa uchungu. Na wengi tulikuwa tunaumia zaidi kwa kuwa Shughuli ya Waarabu ya kufaulisha Choo inajulikana duniani kote!
 
Unamuhukumu vipi mgonjwa ndugu yangu
 
Unamuhukumu vipi mgonjwa ndugu yangu

Kaa kimya Wewe B.o.y.a. huyo Ray C wako wewe umemjua akiwa Msanii wakati Mimi nimemjua tokea akiwa anaishi na Mama yake Kawe eneo la Ukwamani akiwa na Kaka yake ( yule Muigizaji wa Ze Orijino Komedy anayejiita Mac Reegan ) tokea miaka ya late 90's na kuna mengine yanayomuhusu ya ajabu na kusikitisha zaidi sijayaweka hapo.

Huyu Binti amesaidiwa mno ili arudi kama kawaida lakini tatizo lake akipona tu kidogo hujisahau na kurudia tena kubwia mibwimbi yake na kuanza kuuugua tena. Hivi unajua kuwa mwaka huu mwezi February na July huyu Binti alitaka kujiua na kusababisha Watu kupeana zamu ya kumlinda 24/7?

Naomba niishie tu hapa tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…