Hilo limnyororo kichwani ndio mwonekano mpya wa kihindi basi sawa.
Usifurahie anguko la mwenzako kwani huijui kesho yako.... Badala ya kuombeana mema unamnanga mwenzako... Hakuna aijuaye kesho yake aisee.Amna kitu hapo....imebaki story
zamani alizama kwenye mapenzi sasa hv kazama kwenye ungaDah, yaani nikimkumbuka Ray C wa kwenye "Nimezama".
Black, jicho jicho, akikaa tu unaiangalia video unaielewa.
Sijazungumzia kiuno hapo.
Huwezi kurudi hata ukirudi ile sauti ya kiteja lazma utakuwa nayoHivi mtumiaji wa hayo makitu kwa muda mrefu hata akiacha atakuwa kama alivyokuwa kabla ya kutumia??!!
Ray C njoo usome hapa!Mi nafikiri kimuziki hata toka tena Awekeze kwenye ibada
hahaha....kweli sikuwezi bby darling...dohalikuwa na kitovu kizuri sijui kwa nini walimdanganya
Na akili the brain
baby hata sifa hutaki nitoe baby acha wivu banahahaha....kweli sikuwezi bby darling...doh
Kwanini Anauhusudu utamaduni wa kihindi?
Kwanini asivae mavazi ya asili ya kitanzania?
kama yale ya NJOMBA NCHUMALIMavazi ya asili ya Tanzania ndio yakoje ndugu?