Picha za Rostam Aziz kwenye harakati

shati jeupe alifyozi miozi ya jua linatema ,tofauti na jeusi au marangi mengine mkuu
 
Ila nyie nyumbu wakati mwingine mnazidisha usenge bwana. Haya, tuambie unaamini Kuna kitu gani?!!
 
Harakati nyingi inaonekana kazipiga wakati wa magufuli, lakini hii mipumbavu hata haisemi kuwa ni ufisadi lakini akifanya na kiongozi wa Sasa tayari unaitwa ufisadi na ujinga ujinga mwingine mwingiii unasemwa.
 
Kalaghabaho, endelea kubaki na ujinga, upumbavu na upunguani wako.
 
Nguo nyeupe ni nuru mkuu uje nikufundishe langi mpaka blue ujue kwanini Jayz ameita album blue print
Upo sahihi.

Nafahamu kuhusu Colour Psychology. I am a bit of Graphics Designer (kidogo).

Point yangu ni specifically kuhusu Rostam kupendelea mashati meupe kwenye public appearance.
 
Bora umnyime pumzi Rostam kuliko kumuambia atoke East Africa
 
Ila nyie nyumbu wakati mwingine mnazidisha usenge bwana. Haya, tuambie unaamini Kuna kitu gani?!!
Kama unapanic na mjadala wa kawaida huu, ni Bora uendelee na shughuli zako. Hutoweza kujadiliana na mimi kama unatumia lugha ya matusi.
 
ukisikia kamdomo ndio hako kamdomo cha Rostam.......... VPN HOYEEEEEEEEE sinunui bando Mimi.......
 
Wazungu huita conspirancy theories , huwezi kupata hizo classified information kama ni kweli, huwa tukio linafutwa na evidence zake zote wanaita collateral damage!! Ni bora ushike jembe ukalime kuliko kuweka kichwani stori za mambo makubwa ambayo kamwe hutaona yakivuja maana taarifa hufutwa mara baada ya tukio.
 
Caspian Construction Limited

Sasa Taifa Gas Logistics
Mirambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…