Picha za Show Nzima ya Yamoto Band Iliyofanyika Huko London Katika Ukumbi wa Royal Regency

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo.​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

[TD="class: tr-caption, align: center"]Mbuta Nanga nae Alikuwepo.....[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

Nilikuwa sijaielewa Picha Na. 1, nikashtuka
 
Madogo wanakimbiza,ila usimamizi makini unahitajika,la sivyo wajanja watakuwa wanapiga fweeza kwa migongo Yao...
 
hilo ni kweli ila kuna watu wamewekeza lazima hela yao irudi na izae hawawezi kufanya biashara ya kichaa
 
Shikamoo Fella, kila unapogusa mikono yako yako lazima iache alama! Watu tuta-dis sana, mara oh, tatizo shule, mara oh, tatizo korokocho hili na lile lakini ukweli bado utabaki pale pale kwamba wewe ndie the best manager kwenye music industry hapa TZ kama sio EA! Tunaoku-dis kwa kusukumwa na kiburi cha elimu uchwara hatuna uwezo wa ku-manage hata genge la nyanya na matokeo yake kama mtu mshahara wake ni sh.1 M basi ndo anategemea hiyo hiyo 1M na ukiona kuna ya ziada basi ni ya wizi! Big Up man...
 
Mti wenye matunda mazuri daima ndio hupangwa mawe
 
Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo.​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody> [TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mbuta Nanga nae Alikuwepo.....[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

huyu wa mwisho ana sura mbaya kama jambazi
 
Uwepo wa mbuta nanga ndio umeharibu

Mi namuelewa sana huyu mbutananga.zamani nilijua labda ni kichaa ila nilipokuja kumsoma nimetokea kumpenda sana.Mbutananga ni mfanyabiashara na juhudi zake zinaonekana.hapendwi sababu anasema ukweli always.ruwa mangi nakupenda bure Mbutananga!
 
Yaani Watanzania wanaoishi London wote ni wazee? Kama huyu jamani!

yamouk.jpg
 
Mi namuelewa sana huyu mbutananga.zamani nilijua labda ni kichaa ila nilipokuja kumsoma nimetokea kumpenda sana.Mbutananga ni mfanyabiashara na juhudi zake zinaonekana.hapendwi sababu anasema ukweli always.ruwa mangi nakupenda bure Mbutananga!

mi pia nampenda
 
Back
Top Bottom