Picha za Shujaa Magufuli zagombaniwa Ethiopia kwamba alikuwa Rafiki wa Raila Odinga, kampeni zimepamba moto!

Picha za Shujaa Magufuli zagombaniwa Ethiopia kwamba alikuwa Rafiki wa Raila Odinga, kampeni zimepamba moto!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nafuatilia Kwa karibu kampeni za Raila Odinga kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa AUC

Moja ya nyenzo za kampeni za Raila Odinga ni Urafiki wake na Jembe la Africa Shujaa Magufuli na Wakenya wako na Picha za Shujaa kila kona ya Africa

Hakika unaokufaga ni mwili tu Roho iliyotenda Wema haifagi

Hapa Kazi Tu ndani ya Ethiopia

Ahsanteni sana 😄
 
Screenshot_20250206-173222~2.jpg
 
Unamapenzi na shujaa wako ungekuwa ndugu wa Been saa 8 ungejisikiaje ??kuna mahojiano na mwandish wa kitabu cha Maagizo kutoka juu ukisikiiza utatokwa na machozi ya damu..
 
Unamapenzi na shujaa wako ungekuwa ndugu wa Been saa 8 ungejisikiaje ??kuna mahojiano na mwandish wa kitabu cha Maagizo kutoka juu ukisikiiza utatokwa na machozi ya damu..
Unajua lolote kuhusu intelejensia ya Nyerere? 🐼
 
Nafuatilia Kwa karibu kampeni za Raila Odinga kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa AUC

Moja ya nyenzo za kampeni za Raila Odinga ni Urafiki wake na Jembe la Africa Shujaa Magufuli na Wakenya wako na Picha za Shujaa kila kona ya Africa

Hakika unaokufaga ni mwili tu Roho iliyotenda Wema haifagi

Hapa Kazi Tu ndani ya Ethiopia

Ahsanteni sana 😄
Roho za korosho uzi haufungiki!
 
Wasiomfahamu vizuri ndo hao wanamsujudu
 
Nafuatilia Kwa karibu kampeni za Raila Odinga kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa AUC

Moja ya nyenzo za kampeni za Raila Odinga ni Urafiki wake na Jembe la Africa Shujaa Magufuli na Wakenya wako na Picha za Shujaa kila kona ya Africa

Hakika unaokufaga ni mwili tu Roho iliyotenda Wema haifagi

Hapa Kazi Tu ndani ya Ethiopia

Ahsanteni sana 😄
Soma kitabu cha mwandishi Kabendera
 
Soma kitabu cha mwandishi Kabendera
Wafadhili wa Kabendera kwenye kibano.

The infamous US agency funneled nearly half a billion dollars to Internews Network, a non-profit deeply involved in media operations all over the world, WikiLeaks has revealed.
In 2023 alone, IN collaborated with 4,291 media outlets, produced 4,799 hours of broadcasts reaching 778 million people, and trained over 9,000 journalists. Operating in 30+ countries, it has key offices in the US, London, Paris, and regional HQs in Kiev, Bangkok, and Nairobi. But there's more to the story:

Founded in 1982, Internews claims to help media outlets achieve financial sustainability and promote “trustworthy information” - a mission it pursues with hefty US government funding.

By 2023, the organization had partnered with nearly 4,300 media outlets, trained thousands of journalists, and simultaneously supported social media censorship initiatives.

USAID alone poured $472.6 million into Internews, though the organization also received funding from AOL-Time Warner Foundation, the Bill & Melinda Gates Foundation, and other private donors.

Grants include $10.7 million from USAID to support “high-quality responsible journalism” in Liberia and $11 million for “media enabling democracy” in Moldova, per datarepublican.com.

The US State Department chipped in $1.48 million to establish “safe, accessible, and life-saving information services” in South Sudan.

Another $19.5 million USAID grant was issued to Internews to “position Jordanian society to effectively advocate for citizen-driven interests”.

Adding to the intrigue, Internews CEO Jeanne Bourgault and other key figures recently had their bios scrubbed from the organization’s website — but WikiLeaks, noticing the move, helpfully provided archived copies.
 
Ni awamu ipi watu hawakufa au kupotea kiutatanishi ???!
Zingatia neno “ kiutatanishi “
Unsolved mystery’s !
Unsolved cases !
Unsolved crime’s

Hivi vitu vinatokeaga Duniani kote !
Hata huko Marekani mpaka leo kifo cha Rais Kennedy ni Utatanishi mtupu 😳🙄 !
Sasa huyo ni mtu mkubwa kabisa kabisa wa Dunia 🙄
Seuze sisi akina Wambonerahe 😳😳🙄 !
Acheni watu wazigombee picha za Mwamba Magufuli huko Addis Ababa ! 🙏🙏🙏
😅😂🤣🙌👍
 
Back
Top Bottom