Picha za Shujaa Magufuli zagombaniwa Ethiopia kwamba alikuwa Rafiki wa Raila Odinga, kampeni zimepamba moto!

Eheee!! Yaani ya marehemu? Kwani huyu picha zake Kule hawana Hadi marehemu awe juu ya walio Hai?
 
What about human rights records during Magufuli's tenure?
 
Unamapenzi na shujaa wako ungekuwa ndugu wa Been saa 8 ungejisikiaje ??kuna mahojiano na mwandish wa kitabu cha Maagizo kutoka juu ukisikiiza utatokwa na machozi ya damu..
Kwani Ben Sanane ndiye mtu pekee aliyewahi kupotea Tanzania? Hakuna watu wengine waliwahi kupotea vipindi vya viongozi wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…