Picha za utupu zamfukuzisha msanii ‘Rayuu’ kwao, hivi sasa anaishi kwa ‘Mr Chuzi’…!

Picha za utupu zamfukuzisha msanii ‘Rayuu’ kwao, hivi sasa anaishi kwa ‘Mr Chuzi’…!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
AKATI msanii wa bongo movie Rayuu, picha zake zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili wake na tattoo kuvunja mtandaoni, ishu hiyo sasa imechukua sura mpya baada ya kudaiwa amefukuzwa kwao na sasa amepata makazi ya muda kwa mkurungezi wake Mr Chuzi ambaye mara nyingi amekuwa akimshauri kuachana na vitendo vinavyoweza kumchafulia jina lake.

Mtandao wa DarTalk, ulimtafuta Rayuu ili azungumzia ishu ndipo alipodai kuwa wazazi wake walizipata habari zake ndipo waliamua kuchukua hatua hiyo tena bila hata kumpa nafasi kujitetea na kuwaeleza mambo yalivyokuwa.

Hata hivyo inadaiwa kuwa wazazi wake awali hawakujua habari hiyo lakini kuna baadhi ya watu ambao walikuwa na kinyongo na msanii huyo ndiyo waliopeleka habari hizo pamoja na picha nyumbani kwa madai kuwa wanataka kumkomoa.

Msanii huyo alidai kuwa hakuwa na njisi kwani waliofanyan hivyo ni watu ambao mara nyingi wamekuwa wakifanya kazi pamoja lakini hajui ni kwanini wamefanya hivyo ingawa hataki kujua sababu kwa sababu anaweza kuchukua hatua nyingine ambayo si nzuri.
 
rayuu1.jpg kwa ambao amkuona picha aliyopiga na kuitoa kwenye mtandao watu muweze kuona tatuu aliyochola,chezeya wazazi wamemtimia sasa anaishi kwa chuzi
 
Hata mimi,naona bora atimuliwe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Aisee.. Natamani ningekuwa Mpiga picha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
alitaka ajitete kwa wazazi wake nini apo!!! kuwa alikua anaonyesha labda alivyoumbika au,,,,
 
Nia yake sijui ilikuwa nini, kweli ukizaa mtoto wa kike kipindi hiki!!!
 
View attachment 68771 kwa ambao amkuona picha aliyopiga na kuitoa kwenye mtandao watu muweze kuona tatuu aliyochola,chezeya wazazi wamemtimia sasa anaishi kwa chuzi

Nilidhani hadi kuingia kwenye fani Tasnia hiyo Bongo Movie atakuwa ameshakata kamba na anajitegemea???
kumbe bado alikwua kula kulala?
Ulimbukeni bwana, sasa alikuwa anamwonyesha nani hizo tatooosss??
 
hiv kuriport mambo mabaya anayofanya m2 ni uchonganishi? kama ndivyo picha hizo mchonganishi alizipata wapi?
 
Mwache akafunzwe na ulimwengu-chuz
hajui hilo ni gumegume lililowashinda kina jack na kabulaaeee???
 
Ney wa mitego akiimba makahaba wako bongo move wa2 wanabisha na bado sasa juz kuna wengine wameomba radh sasa huyu dada n wakat wake akitoka huyu cjui anafuata nan?
 
Nia yake sijui ilikuwa nini, kweli ukizaa mtoto wa kike kipindi hiki!!!

umenikumbusha movie ya THE DICTATOR, Aladeen anamuuliza mke wake mwenye mimba ''is it a boy or an abortion?????"
 
Back
Top Bottom