Sasa kama mtoto "role model" wake ni WEMA na AUNT unategemea nini ? Any way,hao wazazi wafikirie mara mbili, sasa wanamfukuza nyumbani anaenda kwa BABU CHUZI, kitakachoendelea hapo ni mimba in mimba out wasicheze na babu Chuzi, Wamchukue mtoto na wamfunde upya nina imani anaweza kurekebika.