Tetesi: Picha za utupu zamponza Menina, wafadhili wamkimbia, Yupo Kwao Tanga kuaguliwa

Aaah kijana wa ntume mudi huyo
 
Binadamu tumeubwa kusahau, so hili nalo litapita na maisha yataendelea.
 
Sasa hivi mtu akitumia TPD BANK, anaitwa anatumia BANK MENINAH.

Hatari sana, mtu unajiuliza yule mtoto wake akikua sijui atakua na uhusiano gani na mama yake, akaziona zile video za mama yake, dada zetu kuweni makini.
TPD BANK ni ya wapi hiyo..?
 
Tunapenda sana kuwashutumu watu wakati makosa ni ya kwetu. Aliyeaibika ni Menina au Mwijaku? Tufike mahala tutumie akili, jirekodi au kubali kurekodiwa ila picha au video zikivuja usianze kuwashutumu watu. KOSA NI LA MENINA WALA SIYO LA MWIIJAKU. HANA AKILI NI MENINA KWANINI AJIREKODI AU AREKODIWE? Video zinarekodiwa ili zitazamwe na watu
Utakuwa na wewe unazo video nini?
 
Binadamu tumeubwa kusahau, so hili nalo litapita na maisha yataendelea.
Tayari utakuwa umewaachia video ya porno walimwengu kama ukumbusho. Tuseme ndiyo umemuoa Menina. Unapita mtaani au sehemu unawakuta washikaji wanaangalia video ya mke wako anagongwa. Utajisikiaje?
Kila mtu anafanya ngono, sikatai ila fanya ngono kwa siri kama wewe siyo mcheza ngono maana heshima yako kama wewe itashuka. Watu watakuchukulia kama kahaba, hapo tegemea kila mwanaume kumtongoza
 
Mkuu km una hiyo kideo nitupie PM tafwazal naona naishia kuisikia tu hii Kiki
 
ungejua mwijak anavyo kosoa wanaume wenye michepuko usingesema hivyo, ungejua anavyo sifia ndoa yake na kumuita mkewe ndie mrembo bora east afrika ndio ungejua why nimesema aibu yake, aibu kwa kuwa kauthibitishia uma ayasemayo sio atendayo, aibu sio mpaka uoneshe utupu, juzi tu kam kashifu Matonya kuwa nyimbo zake hazivumu siku nzima kisa kamtaka video queen na yye mwijaku kumshambulia matonya kuwa hafai, leo yeye ndio kajionesha anafaa sana eee?
 
Kwa hili menina amezingua sana tena kwa umri wake sas pata picha akifikisha 30 atakuwa na hali gani? Hii kitu itamtesa sana na wanaomtetea ni vile wana mmedea na wenyewe wa mle kama wakipata hiyo chance.
 
Mwijaku ana matatizo yake na Menina ana matatizo yake. Tufanye ngono ila tuache kujirekodi. Ukitaka kuangalia video za ngono, download uangalie. Video zimetapakaa kila kona, unafikiri mama, baba na wadogo au kaka na dada zake menina wanajisikiaje? Unawapa mateso ndugu zako.
Huyo mtoto wako atajisikiaje siku akiziona? Mwijaku yeye atapambana na matatizo yake lakini Menina heshima yake imeshuka, anachukuliwa kama kahaba. Utawaona wanaume, wanataka kuwa naye siyo kwa lengo la kuoa bali la kutaka utamu.
WANAWAKE WANAJUA KABISA, MWANAUME HAWEZI KUKAA NA MWANAMKE MMOJA BILA KUCHEPUKA
 
Ukitaka kujua kuea Bongo washamba wengi ni kushuhudia Mshamba Mwijaku anavyopata Promo!
 

Kujirokodi watu hawawezi kuwacha, mana ndio moja fantasy zilizo kwenye trend duniani.

Lakini Bado naendelea kuwashangaa wabongo kwa kumshutumu alierokodiwa kwa ulaghai wa mahaba badala ya mshenzi aliyevujisha picha
 

Kosa ni la aliyevujisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…