Mungu wangu Ruge naye yupo, poleni wasanii waTZ, JK kakamamatwa naye , na sasa Ruge ana haki ya kusema yeye ndio kachangia kumweka JK madarakani, maana Chegge , Temba, Diamond na wasanii kibao yeye ndio kajitolea ile fiesta ya kampeni na zile sms , sasa hapo miaka mitano ya uchungu,unyonywaji na mateso kwa wasanii wa Tanzania , inavyo onekana JK hata mwacha kakumpa shukurani. Kazi ipo wasanii.
Nawashauri wasanii, tuhakikishe Raisi anaye kuja baada ya miaka mitano kuwepo na msisitizo wa kumjulisha matatizo na hatari ya watu kama kina Ruge ,zifanyike jitihada mapema ili kuweza kumdhibiti, maana hawa wazee kama kina JK sio rahisi kumjua vizuri wao wataona kuwa Kijana anafanya kazi nzuri ya kukuza vipaji (THT) na mengine wakati ukweli halisi haujui.