Picha za vyombo mbalimbali vya usafiri

Sasa ngoja tuje kwa hawa jamaa ,hawa wazee wa misifa hawajali wala nini hapo kapiga vest yake bukta hana helmet kichwan kanyoa kidukuu na kisendo anakuning'inizia kama hivyo hapo ni full speed yaan ukijichanganya kidogo tu anapita na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…