picha za wahalifu kwanini haziwekwi wazi?

picha za wahalifu kwanini haziwekwi wazi?

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Amani na mshikamano ukae nanyi wote wakuu wa JF!
ni mara ya kwanza kuanzisha mada katika jukwaa hili.
Mimi sio mwanasheria na ngependa sana kujua kwanini wahalifu mbalimbali wanapokamatwa na jeshi la polisi sio rahisi kuona picha zao mfano mdogo ni muuaji wa padri Mushi kule zanzibar,polisi walitoa mchoro kwa kushirikiana na FBI na sasa wamefanikiwa kumpata muuaji kwanini polisi hawajatoa picha halisi ili tujiridhishe kuwa ndiye aliyechorwa? sio hiyo tu mtesaji wa ulimboka alikamatwa kwanini polisi hawakutoa picha yake?
naomba wanasheria wanasaidie hapo
 
duh!kumbe huku hamnaga wanasheria eee....
 
Back
Top Bottom