Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,702
Si vibaya kujikumbusha na pia kufahamu wako wapi na wanafanya nini sasa katika maisha yao. Je kuna chochote cha kujifunza kutoka katika maisha yao?




https://www.jamiiforums.com/356281-post127.html
 
Basila Mwanukuzi was in Addis Ababa, Ethiopia working for the A.U. when I was there. Sijui kama bado yupo huko.
 
Theresa Shayo alifariki miaka michache iliyopita akiwa ameolewa huko Ujerumani; nadhani alizikwa huko huko.
 
naona mwaka 1960,white girls ruled the catwalk,lazima zilikuwa enzi za neema,maana unlike now kulikuwa hakuna kushinda kupitia the back door
 
Ngoja waje wenye uchungu na nchi yao watakwambia hii thread haina tija kwa taifa.
 
Wema sepetu ni kielelezo cha hiyo tija kwa taifa!ama kweli ukistaajabu ya musa..........!
 
Theresa Shayo alifariki miaka michache iliyopita akiwa ameolewa huko Ujerumani; nadhani alizikwa huko huko.

Mwaka 1967 ndipo hayati Theresa alitwaa taji hilo kwenye shindano lilofanyika hoteli ya Kilimanjaro, alifariki dunia january 26 mwaka 2007 na maradhi ya kansa ya tumbo huku akiwa na umri wa miaka 61; alifariki dunia huko Augburg Munich Ujerumani na kuzikwa uko uko alikokuwa akiishi miaka yote hiyo.
 
silivya bahame tulikuwa nae chuo,alikuwa law yeye!
-rough driving!Lol.nadhani ni mrembo pekee aliyepata gari ya maana.alipewa hilux double kibini

-ciggarate smoka!actually she was a chain smoker.uzungu mwingi.lol!wapambe wake wanasema maisha yake yote tangu anazaliwa alikuwa london

-pool-table!mama yangu.demu alikuwa master-pool

-HONESTLY SHE WAS THE SEXIEST WOMAN I HAVE EVER SEEN IN MY LIFE!maprof walimsumbua sana,wakamdisko kwa chuki zao tu.lakini akarudishwa

sijui yupo nchi gani dem huyu
 



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…