Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

Theresa Shayo alifariki miaka michache iliyopita akiwa ameolewa huko Ujerumani; nadhani alizikwa huko huko.

Mkuu;

Nimeona picha yake. Nywele zake hazionyeshi kama 100% alikuwa mbantu. Je una uelewa wowote wa wazazi wake na asili yake?
 
naona mwaka 1960,white girls ruled the catwalk,lazima zilikuwa enzi za neema,maana unlike now kulikuwa hakuna kushinda kupitia the back door


Mkuu una maana gani "hakuna kushinda kupitia the back door"?

Na sasa hivi hali iko vipi?
 

Thanks.

Je alikuwa ni half-cast?
 

Du, kumbe alikuwa Kipanga at the same time Mbabe.

Kazi kweli kweli.
 
Superman ulilenga kujuwa wapo wapi na tunajifunza nini....sasa ni picha kwa kwenda mbele.....ngoja na mimi nitafute picha ya miss TZ mwaka 2001


Mkuu; kama una za ziada bandika. Nimeweka chache tayari.

Of course maswali yako palepale.
 
jamani fashion zingine si muziache zipite tu......sasa hio glass kama fundi welding inverse proportional na demu mwenyewe....


Ndo hivyo tena Mkuu.

habari ndo hiyo!
 
Hii thread tukianza kumkoma Nyani kisawa sawa lazima itafungwa....so ngoja tusifie ili isifungwe.....wadada mmependeza saana mko juuu....

Mkuu usimkome nyani Kamanda,

Ila si vibaya ukitujuza wako wapi na wanafanya nini.
 
Mrembo Happiness Magese (Millen) Yupo Jijini New York Toka mwanzoni mwa August/2009 amepata Mkataba na Kampuni ya Ford Model ya Jijini hapo,kabla ya hapo Mrembo huyo alikuwa anafanya kazi Nchini Afrika ya Kusini katika Kampuni ya Ice Model Management.Happiness Magese alikuwa Miss Tanzania mwaka 2001.
 

Hapo kwenye nyekundu hmmm!!
 
MwanaFA;

When was that?

Kuna mahali niliwahi kusoma au kusikia kuwa yuko Multchoice. About 2 years back.

I was in Addis up until the beginning of this year then niakenda chuoni. Last time I saw her was at a embassy party at around end of 2007 or begining 2008.
 
sio liyumba huyo? huyu demu alipata sugar daddy moja la kizambia wakafunga nae ndoa.....ndio huyo.....nasikia ndoa imeota pembe.....siku hizi wanasaka wazungu


Shemu kamata kitu hiyo

 

So far, huyu binti anonekana kama Role Model katika Industry.

Hongera sana Happiness. Tuwakilishe vizuri na usisahau "Maadili".
 


Duuh! Hapa naona demu iko na Liyumba wakati bado akipeta BoT!!


kaa kimya kama hujui uliandikalo wewe...huyu ni mume wake na sio LIYUMBA.....LIYUMBA alishindwa hapa huyu dada is very understanding na yuko very careful na maisha yake....last time i checked with her alikuwa standard chartered somethin like tht.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…