Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

Hivi kulikuwa na haja gani ya kuweka au kutengeneza hiyo video?
 
Am not a fan of any one
Kwangu mimi I can not buy this shit..msimuonee it's pure photo shop
 
Picha za aibu za Kada wa chadema mwanadada Wema Sepetu zimevuja mitandaoni.
Picha hizo zinamuonesha wema akibusiana huku akiwa amevaa khanga moja na mwanaume mmoja raia wa Kenya ambaye ndi Bwana wake .Mwanaume huyo huko kwao Kenya ana Skendo ya kuuza Madawa ya kulevya na alishawahi kushatiwa mahakamani.
 
Anatangaza umalaya wake tu sio kwamba zimevuja.

Zinaanzaje kuvuja? Alipiga zanini? Hivi uko faragha na mtu wako unaanza kupiga picha ili iweje?
 
Huyu nae jaman([emoji40][emoji40])ngoja nikae kimya
 
Madame katika ubora wake! Kweli huyu mtoto wa kinyaturu kashindikana. Nikikumbuka ile skendo ya baby fly to Kia huwa nacheka sana
 

Madame anaonekana ni mtam sana hasa ule mdomo wake ulivyokaa pamoja na sauti ya kudeka huwa ananimaliza kabisa. Ngoja na mm nizisake nifaidi kabla hajazeeka [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…