Sidhani..ni watu wanakuwa influenced na media. Na kila mmoja anataka aonje aone kuna nini.Madame anaonekana ni mtam sana hasa ule mdomo wake ulivyokaa pamoja na sauti ya kudeka huwa ananimaliza kabisa. Ngoja na mm nizisake nifaidi kabla hajazeeka [emoji23][emoji23]
Tumesha zoea labda angefumwa na mwanamke mwenzieWema na wanaume!
HahahaMadame katika ubora wake! Kweli huyu mtoto wa kinyaturu kashindikana. Nikikumbuka ile skendo ya baby fly to Kia huwa nacheka sana
Ndicho wanachowezaVijana bwana wakipata hela tu cha kwanza wanamkumbuka wema zikiisha anawabwaga
Hata mi nikizidaka wa kwanza yeye kisha bongo muvie wenzie watafata[emoji12]Vijana bwana wakipata hela tu cha kwanza wanamkumbuka wema zikiisha anawabwaga
jana nimekaona kanasema sooo disapointed kudaudek halaf kamevujisha kenyeweNa ni anaelekea utu uzima. Pengine atakuwa star mpaka uzeeni
Kumbe kazivujisha mwenyewe...eti team yake wanasema photoshoppingchizi kalogwa tena ..... jana nimekaona kanasema sooo disapointed kudaudek halaf kamevujisha kenyewe
lolzz huyu binti zamani alikuwa anamlipa shigongo amuandike magazetini nadhani anamatatizo ya kisaikolojiaKumbe kazivujisha mwenyewe...eti team yake wanasema photoshopping
Yaani mi mpaka nimebaki nacheka tu mwenyeweWacha wamtetee boss wao