Picha za wema sepetu kabla na baada ya kuacha mkorogo

Picha za wema sepetu kabla na baada ya kuacha mkorogo

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Mgala muue lakini haki yake mpe. Wema tangu Diamond amwambia aache kutumia mikorogo sasa inaonekana amekuja na rangi nzuri ya mwili wake. Wema alishawishiwa na Diamond aache kujichubua ngozi yake jambo ambalo Wema alilichukulia vyema.

Angalia matokeo yake, mwili wa kuvutia, ama wasemaje mwana JF?
 

Attachments

  • wema2.png
    wema2.png
    35.1 KB · Views: 1,574
Hiv hua anatembea manyonyo yakiwa wazi hivyo au hata mitaani?
Kapendeza rangi vipi kanunuliwa gari nyingine ??au
 
Back
Top Bottom