Mgala muue lakini haki yake mpe. Wema tangu Diamond amwambia aache kutumia mikorogo sasa inaonekana amekuja na rangi nzuri ya mwili wake. Wema alishawishiwa na Diamond aache kujichubua ngozi yake jambo ambalo Wema alilichukulia vyema.
Angalia matokeo yake, mwili wa kuvutia, ama wasemaje mwana JF?