Picha: Zari, diamond , Mapenzi Mubashara

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Watu na ma baby zao wanakula bata mubashara, hapo no tecno wereva ni mwendo ya Iphone

Hizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
 
chibu kamnunulia baby wake china,utaweza binamu? usijishaue kupenda makubwa wakati uwezo huna mfyuuuu
 
Hizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
uliona video ya zari akicheza sengeli kwenye arobaini? yule mtoto ni shigidaa mi nahisi uzungu anatuektia maana alivyokua anayrudi utadhan anakaa mbagala
nliona binamu zari yupo.good kila idara
 
uliona video ya zari akicheza sengeli kwenye arobaini? yule mtoto ni shigidaa mi nahisi uzungu anatuektia maana alivyokua anayrudi utadhan anakaa mbagala
Chezea tandaleeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…