Picha: Zari, diamond , Mapenzi Mubashara

Mwakaleli kuna wanopenda kuliko hao,kwenye kuni wanaenda wote,mbona wao hamuendi kuwapiga picha,,mubashara
 
Hizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
We utakuwa mtoto wa kishua manake wa huku uswahilini, tunajua kabisa swimming pools zetu za kiuswazi tunazi-manage vp! Unaunganisha mabati tu kisha swimming pool unalifunika kama kisima! Wale wanaojifanya wameenda shule, bati wanazipaka rangi nyeupe... sasa ole ubugi step uzipake rangi nyeusi; mchana haligusiki!
 
kula bata dogo, mrangi slikuwa anakuzingua, muachie msukuma na sultan aangaike nae
 
Hizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
Mbona unajipa kiki af unazifuta zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu na ma baby zao wanakula bata mubashara, hapo no tecno wereva ni mwendo ya I phonee
ila huyu mama nimemnyanyulia mikono juu,utasema hana hata mtoto wa kusingiziwa kumbe amewafyatua watano mweeeeh.......cjui huwa anajifanya nini ama ndo pesa?
 
Hizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.

Umenena ya kweli. Tutaweka vijana wa kuthibit uchafu wewe weka tu hiyo swiming as a starting point[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
 
Hizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
Mkuu mnunulie kwanza miwani..
Itakupa nguvu ya kujenga swimming pool.
 
Naona chibu hataki kabisa kuangalia msabwanda wa zari cjui kwanini ??
 
Hizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.

umenifanya nicheke mkuu eti makaratasi ya vitumbua doh
 
Yaani zari nae kwa kutojiamini yani malipstik mpaka kwenye swimming looh , huu ndo muda wa kuwa natural
 
Iv yule mama alotoa zawadi za migodi ni nani?
Na je ni kweli katoa zile zawadi au kiki??
Shilawadu majibu tafadhali.
 
uliona video ya zari akicheza sengeli kwenye arobaini? yule mtoto ni shigidaa mi nahisi uzungu anatuektia maana alivyokua anayrudi utadhan anakaa mbagala
Binamu hebu tupi hiyo video ya zarina alivyokuwa akiyarudi magoma ya 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…