Picha: Zari ndani ya Nairobi akiwa na akothee

Picha: Zari ndani ya Nairobi akiwa na akothee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mmh jaman shoga yangu mie hakubalig kupitwa na Kiki , toka Jana kaona Kenya pananoga, full tanasha kupewa Kiki , shoga angu nae akaamua kufanya women conference Sijui na single mother mwenzei akothee, Zari anapenda kiki jaman khaa[emoji23], so akaamua kujipeleka keny mwenyewe, Sijui anataka kufanya collabo na Eric mondi [emoji23][emoji23]

Ila uzuri she is smart na vile amekutana na akothee, wale wamama ni money makers hawatakangi mchezo when it comes to money , shoga angu ninachompendea hua analenga fursa, safi sana
IMG_0912.JPG
 
Back
Top Bottom