Picha: Zari the bossy lady VS Madam Ritha

nifah

Madam Rita huyo

Hivi ana miaka mingapi?

.....

Ila raha jamani haya muanze kunywa maji mengi kila siku etc miili ianze kutakasika wanawake inasaidia sana, mie najua umribwangu natajiwaga wa chini so happy me pia.
 

Attachments

  • 1430774030927.jpg
    33.4 KB · Views: 878
  • 1430774050294.jpg
    30 KB · Views: 860
Last edited by a moderator:
ingia kwenye account ya zingifuri instagram ukajionee videos za Mr na Mrs Chibu za party ya Zari na walipoimba wifi wifi...nietoka kuziangalia

hadi sasa acc ipo public, hakuna haja ya kutuma request
 
Mradi wake wa BSS uliishia wapi? Au K-lyn baada ya kuchukua nafasi mambo yaliharibika. TB ccm nayo ikakosa wadhamini
 
Unapokuja kwenye swala la mvuto na uzuru hawa wadada bhana walipewa kama vile ua rozi
 
Unapokuja kwenye swala la mvuto na uzuru hawa wadada bhana walipewa kama vile ua rozi

K-LYNN Ana asili ya Burundi na TZ,Madame Ritha ni Mnyarwanda,Zari ni mix ya UGANDA,BURUNDI,Somalia sijui na wapi tena nimesahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…