Picha: Zari the bossy lady VS Madam Ritha

Lita ni mzuri ila the boss lady ni mzuri zaidi. Mwili upo njema, hiyu lita pesa inambeba zaidi ila mwili fwololo, sura inashuka kiasi ila she is one of the best.

Zarina watoto wa 3 c mchezo na anakuja wa 4, nahs madam lita angekuwa na watoto wa 3 asingekuwa ivo
 
K-LYNN Ana asili ya Burundi na TZ,Madame Ritha ni Mnyarwanda,Zari ni mix ya UGANDA,BURUNDI,Somalia sijui na wapi tena nimesahau.

na mhindi pia
rita rita..
zari zari..
ila zariii nyoko
 
Madam ritha ana macho matam kinoma noma...na ngozi swaafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…