Picha zetu huwa zinaenda wapi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kwenye makongamano, warsha, semina na makongamano mbalimbali huwa kuna makamera mani wavamizi.
Hupiga picha na mwisho wa shughuli huzisambaza chini na kuziuza.
Swali langu ni hili, je unajua usipo nunua hizo picha, zikamdodea mpiga picha, je huzipeleka wapi?
 
Halafu kuhusu hiyo kitu mi huwa na washangaa sana hatakama ndo biashara
wanapiga picha bila ya makubaliano
kinachofuata wanakung'ang'aniza kununua
minaona zikidoda wanazichoma moto
 
i guess zingine zinaishia mikononi mwa shigongo and associates, sasa ole wako ukatibua mahali...
 
usinikumbushe uchungu wa 2008 kwa graduation yangu. jamaa kani photolise then akapotea jumla hadi leo sijui picha zangu ntazipataje
 
sipendi tabia yao,hata ukiwambia wasipige watakufotoa v
 
wapiga picha wengine wanapenda tu kuuza sura kuonyesha na wao wamesheka camera,baada ya hapo wanaziweka kwenye reclye bin.
 
hivi hakuna jukwaa la usalama huku,
maana naona kama umepotea njia, MMU na kupigwa picha bila idhini! wapi na wapi
 
Na mimi pia huwa najiuliza the same question, huwa sipendi kabisa hii tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…