Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Nimejua leo hii.
tumejua kitu tofauti, tumeongeza maarifa.Me too
Yaani hii kitu ndo naijua leo kuanzia muda wa post yangu hii
Mbona kila kitu wazungu hahah dah
Sisi hatuna utamaduni wa kutunza kumbukumbu zetu. Watu wengi hawajui hata historia zao wenyeweMbona kila kitu wazungu hahah dah