Picha zifundishazo

Nieleweshe hapo kwa huyo chura
Kama wewe ukimng'ata chura hiyo kwa kiingereza inaitwa "poisonous" yaani mwili wako unapata sumu kutokana na kula sumu. Lakini ukigonwa na nyoka basi hiyo itaitwa "Venomous" yaani sumu ya mnyama imeingia mwilini mwako kwa mnyama huyo kukugonga wewe.

Kiufupi chura hana sumu ya kukudhuru akikunga'ta wakati nyoka anayo sumu akikung'ata. Ajabu ni kwamba wapo nyoka wenye sumu wanaoliwa na binadamu wakiwa wabichi na hawadhuru.
 


Remember: Charlie Chaplin died aged 88.
He left us 4 statements:
(1) Nothing is eternal in this world, not even our problems.
(2) I like to walk in the rain, because no one can see my tears.
(3) The most wasted day in life is the day we don't laugh.
(4) The six best doctors in the world...
1. sunshine,
2. Rest,
3. Exercise,
4. diet,
5. Self-esteem
6. friends.
Keep them in all stages of your life and enjoy healthy life...
If you see the moon you will see the beauty of God.....
If you see the sun you will see the power of god..
If you look in the mirror, you will see God's best creation.
Believe it then.
We are all tourists, God is our travel agent who already made our itineraries, bookings and destinations...
Trust him and enjoy LIFE.
Life is just a journey!
Live today!!!!

Post by Neema Erasto Mziho
 
"During an interview with a television station, a journalist asked Mike Tyson if it was true that he got up at 4:00 a.m. to run, to which he replied

"No". - At 4:00 a.m., I'm already running...

- But you are world champion, why do all this? asked the reporter.

To which Tyson responded:

"That's precisely why, at this time all my opponents are sleeping and gaining weight. If I learn that one of them is running at 4:00 a.m. too, I will start running at 2 a.m., and if someone runs at 2 a.m., I'm going to stop sleeping to train. That's why I stay on top... It's my responsibility, not theirs...".


👇🏾
 

Treni ndefu zaidi duniani;

Hii treni Iko nchini Mauritania kwenye machimbo ya chuma ni ndefu zaidi duniani ikiwa na urefu wa kilometa 3

Treni hili husafiri kilometa 704 njia Moja, likiwa limebeba chuma kutoka machimboni Hadi kwenye Bandari Kuu ya nchi.

Trwni hii huvutwa na vichwa vitatu vinavyokokota mabehewa 210. Na Kila behewa hubeba tani 84 za mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…