Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #161
Kumbe Samia aliposema mawaziri wake wanavimbiwa baada ya kukata kamba aliona wanashindwa kuhema kwenye kikaoUkila sana ikawa huwezi kuhema inaitwa kuvimbiwa.
Na ukila ukakinai inaitwa umeshiba.
Hii ni sawa kabisa
For more clarification, we leave it in the hands of Tanzanians 😃Didn't mention manhood😂
Unampenda sana bi khadijaHii ni sawa kabisa
Akiwepo Khadija nakutwa na hii hali
🤣Unampenda sana bi khadija