PICHA: Zilikua nyakati huru sana kwa wasanii!!!

PICHA: Zilikua nyakati huru sana kwa wasanii!!!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
27e8d11ab135ea5d9de83f178b9cad90.jpg
d66db05ebc9a5685197fa627ceb9e064.jpg
133f02eb4995a8ee04149a8d8a929957.jpg
12ed6ea916768ea3f4ec8088296ad8d3.jpg
70c0cc749daa689946bec032cf90d152.jpg
7ef2b7aef4dee99a71fc5b0f569d5b42.jpg
08cea4482c301db9e334fd807c7ef3fe.jpg
d79ef96d19d6f6e98430f0c1bf61d92d.jpg
07db86be02b99b1da25952dcac6c1104.jpg
35296781177542efd468d1a557093f35.jpg
146409b906b50ffd27c8801a6399e604.jpg
 
Hakuna kilichopungua kwa sababu walikuwa hawaingizi mapato yeyote kutokana na hizo picha zaidi ya misosi lunch na dinner ikulu..
 
"golden chances never come twice".
Mkwere poa sana.
 
Hakuna kilichopungua kwa sababu walikuwa hawaingizi mapato yeyote kutokana na hizo picha zaidi ya misosi lunch na dinner ikulu..
Hoja si walikuwa wanaingiza mapato je walitumia vp ukaribu huu na kuingiza mapato na je leo kuna uwezekano wa haya aliyokuwa nayo yakatokea muda huu leo kuwa karibu na Rais ni Opportunity kubwa sana inaweza kubadilisha maisha au hv ndani ya dakika moja sasa waliutumiaje ukaribu na Rais??
 
Zilikuwa nyakati za kuchekeana chekeana sana hizi..
 
Sasa hivi ni mwendo wa kaZi tu na uhakika usiokwisha nduki[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
hata hivyo,sidhani kama hayo maself ya wasanii na JK kama yalisaidia kuboresha tasnia yao.

wengi wao bado naona wanaishi mjini kiujanja ujanja.

wadada wasinii kuuza miili kwa "masiponsa" wao na wakaka wasanii kuishia kutumia na kusafirisha ngada.
 
[HASHTAG]#OnBehalfOfMyself[/HASHTAG]" hacheki na kima....
 
Back
Top Bottom