PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Hoja si walikuwa wanaingiza mapato je walitumia vp ukaribu huu na kuingiza mapato na je leo kuna uwezekano wa haya aliyokuwa nayo yakatokea muda huu leo kuwa karibu na Rais ni Opportunity kubwa sana inaweza kubadilisha maisha au hv ndani ya dakika moja sasa waliutumiaje ukaribu na Rais??Hakuna kilichopungua kwa sababu walikuwa hawaingizi mapato yeyote kutokana na hizo picha zaidi ya misosi lunch na dinner ikulu..