Its bad al-shabab inabidi wasakwe mahali walpo mana wasomari wamezagaa kila mahali mii naiomba serikali wawe makini na hawa watu wasibweteke the're nearly!!!to us kwani huku niwengi tanga,arusha,dar,Hivyo erikali itie mkazo katika wageni wawa angalie wanakuja kwa misingigani!Ndo ushahuri wangu kwa vyombo vyote vya usalama japo najua watakuwa wamejipanga.