Picha zimefutika kwenye locked folder la google photos. Nawezaje kuzipata?

Picha zimefutika kwenye locked folder la google photos. Nawezaje kuzipata?

Nambarapi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
201
Reaction score
171
Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja.

Je, kuna uwezekano wa kuzipata?
 
Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja
Je kuna uwezekano wa kuzipata ?
Picha zipi? Ukiwa unafanywa nini? You're not safe hio Safe folder inafanyiwa update kila Muda kwanini usitumie Calculator kuficha upumbavu wako?
 
Google photo haijawawi kupoteza data, angalia account yako ipo kwenye device yoyote ambayo huitumii kwa sasa? Huenda ndio inafanya hivyo. Ukiingia kwenye account yako angalia devices zipo connected.

Pia unaweza track activity zako zote ulizofanya tangu utumie google.

Kwenye search box andika my google activity itakupa link, hapo fungua kisha anza tarehe uliyoweka picha uangalie nini kilitokea.
 
Sema maelezo yako hayajajitosheleza mkuu.
 
Unatumia simu au web version ya Google Photos?

Kama ni simu na kupitia App ya Google Photos, kuna uwezekano picha izo hazikua backed up.

Screenshot_20240530-153855.png


Kwamba zilikuwepo kwenye App lakini hazipo uploaded kwenye cloud.

Cha kufanya, jaribu kuingia kwenye Photos ya mtandaoni, afu cheki ilo folder kupitia web sio App.
 
Back
Top Bottom