Picha zipi? Ukiwa unafanywa nini? You're not safe hio Safe folder inafanyiwa update kila Muda kwanini usitumie Calculator kuficha upumbavu wako?Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja
Je kuna uwezekano wa kuzipata ?
inabidi hapo udownload application kisha unaweka kwenye simu yako ndio unaza kufanya recoveryNaomba unielekeze namna ya kufanya data recovery?