Tumekuwa na picha nyingi zinazotutafakarisha vingi vingi, lakini tumekuwa interest zaidi na picha zenye kupendeza, kufurahisha, kuhamasisha, kujifunza na kuburudisha.
Hii itakuwa thread maalum ya picha za kuhuzunisha na kutafakarisha juu mienendo yetu mibaya hapa duniani na athari zake kwa wengine binadamu na viumbe wengine wanaopigania kuishi kwenye uso wa dunia.
Picha zote ni hisani ya mtandao.
Ya kuanzia ni kijana wa Kijapani akiwa amembeba mgongoni mdogo wake akiwa amefariki kwa athari za vita, hii ilikuwa vita ya pili ya duniaView attachment 2525149
Juzi tu hapo turkey kweny tetemeko ,Dada anamkinga mdogo wake asifunikwe kabisa na hapa ni baada ya kuwa chini ya kifusi baada ya masaa kadhaa View attachment 2525155