Hatari sanaMmh AK47 amekabidhiwa mama ajilinde.
Halafu hapa kwetu utawasikiwa watu wanataka damu imwagike
Watoto wanafundishwa ukatili .Huwezi kudumisha Amani ya nchi na huku unawapa silaha watoto wachezee.
Nchi za Afrika zitaendelee kubaki uwanja wa vita miaka na miaka
Alafu akachukua hatua gani?Unaweza kusema Mungu ameenda mbali sana na binadamu ndio maana wengine wanapitia mateso makali sana, lakini bado Mungu yupo karibu mno na binadamu.View attachment 2532078