Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

Mwenyezi Mungu alipomuumba mtu katika ardhi natumaini hakua na malengo aje ateseke juu ya hii ardhi.
Badala yake matokeo yamekua tofauti na ilivyo tarajiwa!
Ni kwa sababu ya kwenda kinyume na maelekezo.

Bahati mbaya athari zinakua kubwa kuliko kwa wale ambao hawakupaswa kuathika kwa vyovyote.
 

Attachments

  • fa52f745251d1d85a69b2f28451f8f9b.jpg
    37.3 KB · Views: 62
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…