Picha: Zitto Kabwe juu ya meza ya kunywea kahawa. Anajitutumua

Picha: Zitto Kabwe juu ya meza ya kunywea kahawa. Anajitutumua

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Act wazalendo wanajitutumua ili kupata kura hapo tar 16
IMG_20210514_210422.jpg
 
Hali kama hii tuliikosa chaguzi za awamu ya tano, chakushagaza ni kwamba bila hata serikali kutumia nguvu zile ilikuwa inatumia bado CCM ingeshinda tu, sielewi mtu yule alikuwa ana mawazo gani, scientist philosopher hakutakiwa awe vile
 
Siasa za Vyama vingi itachukua kipindi cha miaka mingi kidogo kurudi Kwenye nafasi yake kama ilivyokuwa Kwa kikwete wasipojipanga sawasawa
 
Vijumba vya kimasikini sana
Mkuu, ukienda hapo 2030, kama mambo yasipoharibika na hizi siasa zetu za kubahatisha, unaweza usipatambue mahala hapo.

Mimi nimevutiwa na wananchi hao waliokusanyika hapo; hii ni sampuli halisia ya sehemu nyingi za nchi yetu. Hii ndiyo nguvu kazi inayotakiwa ibadirishe mwonekano mzima wa nchi hii.

Hii ni nyenzo muhimu inayotakiwa kutumiwa na serikali zote, kuibadilisha hali duni ya maisha; lakini serikali hawajui jinsi ya kuitumia nyenzo hii ipasavyo.
Badala yake tunakimbilia jirani kwenda kutafuta msaada wa kutuletea maendeleo. Msaada huo hauwezi kamwe kubadili mwonekano wa umati huo uliokusanyika hapo hata kwa miaka 50 ijayo.
 
Sijajua Nape na Kinana kama ndio wanarejeshwa kwenye sekretarieti ya chama taratibu!
 
Zitto toka alipo adopt siasa za kikenya za ku compromise. nilimfuta kabisa. Ukizingatia ndio muanzilishi wa opposition political careering, yaani kazi yake ni kuwatashia wanasiasa walio madarakani ili apate hela.
 
Back
Top Bottom